Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimefurahi kumuona kijana wetu Mrisho Ngasa katika klabu yake mpya ya Free State Stars ya Afrika Kusini mechi ya kwanza ya ligi kuu ya nchi hiyo. Namtakia kila la heri Ngasa.
nilidhani unatueleza alichezaje namba ngapi waliheza na tim gani walipata matokeo gani-
Ni mechi ya kwanza ya ufunguzi wa league dk 24 sasa Free state wako nyuma kwa goli moja, wanacheza na Black Aces Ngasa akiwa ndani ya jezi no. 17 kiungo mshambuliaji.
channel gani hiyo mkuu au upo hapo south je amegusa mpira?