Rogie
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 7,586
- 6,697
Nakusalimia tu mimi hongereni jamaan kwa kumrudisha ngasa jamaan yaan yanga nyie hivi mna ninii
Ahsante sana. Sisi Yanga ni watabe.
Nimekumiss
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakusalimia tu mimi hongereni jamaan kwa kumrudisha ngasa jamaan yaan yanga nyie hivi mna ninii
Ni mwanachamaHivi huyu mhenga kuna alichonacho kwa manufaa ya Dar Young Africans... kweli!!?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mfungaj bora wenu anakuja kumrith msuvaSasa ni kama 98% uncle Ngasa kutua Jangwani kwa mwaka1. Leo hii hii anamwaga wino muda wowote kuanzia sasa.
Abdi Banda yupo Dar kwa kazi maalumu...
Point hiyo mkuu sijui shida ni pesaSasa si bora tungebaki na Kaseke tu...
Mkuu Hamid mao yuko na Azam kampalaHimid Mao!Himid Mao!Himid Mao!.....
Mkuu naona kwa blog ya bin zubeiry Hamid mao yuko kwenye msafara na timu ya azam wako kambi Kampala roho mbaya ya azamsimba kuikomoa yangaVipi Mkuu, naye kasaini?
Tutamchukua bure jan.Mkuu naona kwa blog ya bin zubeiry Hamid mao yuko kwenye msafara na timu ya azam wako kambi Kampala roho mbaya ya azamsimba kuikomoa yanga
Sent using Jamii Forums mobile app
Kaseke nadhani mlishindwana bei ila ni bora kabisa angebakiSasa si bora tungebaki na Kaseke tu...