Mrisho Ngasa Lini Atarudi Westham United?

Mrisho Ngasa Lini Atarudi Westham United?

bryan2

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2016
Posts
3,323
Reaction score
4,679
Mrisho Ngasa Ni Kati ya Wachezaji wachache wa Kitanzania waliofanikiwa Kufanya Majaribio na Klabu ya EPl Westham united na kwa Taarifa zake alisema amefuzu majaribio ila aliwaambiwa arudi kwanza nchini kwa Lengo kufanya Mazoezi hasa ya kutafuta Stamina/Nguvu

Kati ya Vigezo alivyopewa ni Kupewa ratiba ya Special Diet ili kupata Stamina/Nguvu na Baada ya hapo aliambiwa Arudi

Kwa Sasa Mrisho Ngasa Anacheza Soka lake katika club Ya Fanja Nchini Oman

Je Ni Lini MrishonNgasa Atakidhi Vigezo Na kurudi Westham United akaungane na Akina Payet,Sakho,Lanzini,Kouyate Na Fletcher?
 
Ngassa huwa aesabu umri anaesabu kimo chake mambo ya kalenda hana haja nayo.
 
Back
Top Bottom