Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Story ya kitambo sana,eti ooh wachezaj wengine wa huko ulaya walikuwa wanakula mpaka kuku wawili
18 ni mtoto?Nilishangaa sana maana hata mtoto wa miaka 18 anamaliza kuku mzima.
😀😀😀😀😀Kipindi kile Ivory Cost ya kina Drogba wanakuja kucheza Tanzania niliambiwa kuwa Drogba huwa anakula mbuzi mzima peke yake.
Indeed,alitakiwa awe wa kwanza kabla ya samattaThe guy was very talented
Kuku wawili wachache sana mkuu,kuna kidume hapa kinatwanga chapati 15 na maharage,mi kuku wawili namalizaStory ya kitambo sana,eti ooh wachezaj wengine wa huko ulaya walikuwa wanakula mpaka kuku wawili
Inategemea ni kuku wa aina gani na ukubwa upi.Nilishangaa sana maana hata mtoto wa miaka 18 anamaliza kuku mzima.
Inategemea ni kuku wa aina gani na ukubwa upi.
Na kuna hao wengine hadi 5kg hadi.Kuku wa kawaida ni 1kg amezidi sana 1.5kg ,hapo mifupa karibu ni 0.5Kg
Sasa huyo sio kuku ni bata MzingaNa kuna hao wengine hadi 5kg hadi.