Mrisho Ngasa: Taarifa za kushindwa kumaliza kuku mzima ni uzushi

Mrisho Ngasa: Taarifa za kushindwa kumaliza kuku mzima ni uzushi

Ulikuwa mdogo ulidanganywa,mbuzi mzima umle peke yako sio mchezo
 
Wadau hamjamboni nyote?

''Kila kitu ni bahati, mtu anaweza kuwa huku Tanzania akasema mrisho kashindwa na kuna stori zilikuja eti Mrisho kashindwa kumaliza kuku, lakini hizo ni stori tu mtu mmoja akiamua kuongea zinavuma, lakini kitu hicho cha kushindana kula hakuna'' - Mrisho Khalfani Juma Ngasa Mchezaji wa zamani wa Simba S.C na Young Africans S.C

Usikose kuitazama #SalamaNa kila siku ya Alhamisi saa 3:00 usiku, kupitia EastAfricaTv pekee.

✍🏿: @goodluckepafra

#SalamaNa #HainaKuchoka #EastAfricaTv

View attachment 3100808
Wale wazungu walipomuita kwa majaribio kwa ule ufupi walijua ni kinda wakalikuze wenyewe kufika kule akajichanganya akawaambia ukweli kuwa ana wake wawili tayari hapo hapo wakamfungashia virago
 
nje ya mada! ivi #raraa reree# huwa anawezaje kupitia kila nyuzi na comment ya mmoja mmoja kuweka likes? naomba nijuzwe
 
Wadau hamjamboni nyote?

''Kila kitu ni bahati, mtu anaweza kuwa huku Tanzania akasema mrisho kashindwa na kuna stori zilikuja eti Mrisho kashindwa kumaliza kuku, lakini hizo ni stori tu mtu mmoja akiamua kuongea zinavuma, lakini kitu hicho cha kushindana kula hakuna'' - Mrisho Khalfani Juma Ngasa Mchezaji wa zamani wa Simba S.C na Young Africans S.C

Usikose kuitazama #SalamaNa kila siku ya Alhamisi saa 3:00 usiku, kupitia EastAfricaTv pekee.

✍🏿: @goodluckepafra

#SalamaNa #HainaKuchoka #EastAfricaTv

View attachment 3100808
Hz story zipogo sana, kuna njemba alinambia Hashimu Thabit anakula mara 6 Hadi 8 kwa siku.
 
kuna madogo niliwatoa out siku moja, mmoja ako na 11yrs na wa2 ana 9yrs, walifuta kuku mmoja pyuuuu, mtu mzima unashindwaje kumaliza kuku 1?
 
Kuna kizazi kitakuja utawaambia Mrisho Ngassa alikuwa ni winga mmoja hatari sana kitabisha, kitakwambia nyie wahenga mna fix sana.

Ndo hayo hayo tunayokumbana nayo tunapowaambia Gen hii kwamba kwa soka la leo Tanzania hakuna mchezaji mwenye uwezo wa kumzidi Said Mwamba Kizota au Zamoyoni Mogella.
 
Kuku mnayemsema ni aliyekaushwa au pamoja na supu yake?
 
Sasa huyo sio kuku ni bata Mzinga
Record ya kuku ni kilo 10,

images (34).jpeg
 
Kipindi kile Ivory Cost ya kina Drogba wanakuja kucheza Tanzania niliambiwa kuwa Drogba huwa anakula mbuzi mzima peke yake.
Hizi story sjui zilikuwa zinatungwa na nani na Mimi niliaminishwa hivyo miaka ya 2010
 
Kipindi kile Ivory Cost ya kina Drogba wanakuja kucheza Tanzania niliambiwa kuwa Drogba huwa anakula mbuzi mzima peke yake.
Mimi kipindi hicho nilikua nakula ng'ombe mzima.

Nashushia na kuku wawili.
 
Back
Top Bottom