Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na akipoteza kiwango akaangusha taifa star nayo ujali?i dont care aoe awezavyo
Na akipoteza kiwango akaangusha taifa star nayo ujali?
taifa stars ishaanguka kitambo
kwa hiyo tumuache
ila ndoa zenu za kiislam hazina hata mvuto......hapo sana sana wamegharamia laki 2
nimeona imekaa safi sana japokuwa nimeipiga na simu kiwizi wizi
Acha ubinafsi, ndoa za kiislam ni bomba sana kwa mtu mwenye uchumi mdogo, au wewe unaona sifa kusumbuwa watu michango kwa starehe zako?