Mrisho Ngassa anaoa sasa hivi hapa Bunju beach

Ona picha hii ivute kwa karibu watu wanagombea viroba
 

Attachments

  • Photo0144.jpg
    289.7 KB · Views: 1,047
ila ndoa zenu za kiislam hazina hata mvuto......hapo sana sana wamegharamia laki 2
 
Acha ubinafsi, ndoa za kiislam ni bomba sana kwa mtu mwenye uchumi mdogo, au wewe unaona sifa kusumbuwa watu michango kwa starehe zako?

kwahiyo ndoa zao hazina michango? au ndo mchango buku buku?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…