Mrisho Ngassa atua rasmi Free State Afrika Kusini

Hivi kwa kukataa ile dola miaka ile je kubaki kwake ilijilipa au

Ililipa Mkuu:
1. Haipendezi kumuuza mchezaji kwa bei ya hasara.
2. Uwepo wake umesaidia sana Yanga kunyakua kombe la 25: Nakumbuka ile mechi ya 2 ya Mtibwa Dar ilikuwa ngumu sana kwa Yanga, ilielekea kuisha kwa sare, Ngassa alipoingia kama substitute Mtibwa walikaa wenyewe bila shuruti, huu ni mfano tu wa jinsi Ngassa alivyosaidia kupatikana kwa ubingwa wa Yanga.
 
Hii habari imewakera sana Jangwani. Vijana wanalalama kuwa Ngasa atafanikiwa kimaisha timu itadhoofu. Mmiliki wa Yanga anasubiriwa kutoa kauli kwa wafuasi na mashabiki wa timu.

Mtaa wa pili nawasifu hawana shida katika kuwatafutia wachezaji wao riziki. Ngasa atachukiwa sana mafurikoni watamwita msaliti.
 
Ningekuwa nakujua ningepima urefu wako na unene wa mwili wako halafu nikafananisha na huu utumbo wa bata ulioandika hapa halafu nikapata uwiano.
Muda mwingine unapotaka kutoa maoni yako uwe unatumia akili, hapa sio facebook.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…