Makoye Matale
JF-Expert Member
- May 2, 2011
- 6,491
- 2,104
Hivi kwa kukataa ile dola miaka ile je kubaki kwake ilijilipa au
Ililipa Mkuu:
1. Haipendezi kumuuza mchezaji kwa bei ya hasara.
2. Uwepo wake umesaidia sana Yanga kunyakua kombe la 25: Nakumbuka ile mechi ya 2 ya Mtibwa Dar ilikuwa ngumu sana kwa Yanga, ilielekea kuisha kwa sare, Ngassa alipoingia kama substitute Mtibwa walikaa wenyewe bila shuruti, huu ni mfano tu wa jinsi Ngassa alivyosaidia kupatikana kwa ubingwa wa Yanga.