Alexander Lukashenko
JF-Expert Member
- Sep 9, 2017
- 4,140
- 9,667
Kwa kuwa wewe ni mtu wa football najua unajua usajiri ni gamble....Bwalya siyo goal scoring midfielder unahitaji mtu anayeweza kucheap in kufunga magoli kama alivyokuwa anafanya Chama.
Kuondoka kwa Chama na Luis kumepunguza direct goals kama 30+ kwa msimu hii ni damage kubwa sana kikosini.
Rainford Kalaba ana miaka 33 tu sawa na Wawa, Bocco, Nyoni lakini bado ni regular starter pale TP Mazembe kwa uwezo wake bado naamini atakuwa na mchango mkubwa kwa Simba hasa ukizingatia aina ya Football tunayocheza ni ya kutumia akili nyingi nguvu kidogo ataweza kumudu.
Or else wamrudishe Okwi hiyo ni kwajili kurudisha magoli kama back up plan pindi hawa wachezaji wapya hawajakaa sawa.
Ngoja tuone hawa waliosajiliwa watafanya nini, kwa hawa wamalawi sina shida nahisi wataperform. Shida ipo kwa hao wa west Afrika.