Mrithi wa CHAMA huyu hapa

Kwa kuwa wewe ni mtu wa football najua unajua usajiri ni gamble....
Ngoja tuone hawa waliosajiliwa watafanya nini, kwa hawa wamalawi sina shida nahisi wataperform. Shida ipo kwa hao wa west Afrika.
 
Kwa kuwa wewe ni mtu wa football najua unajua usajiri ni gamble....
Ngoja tuone hawa waliosajiliwa watafanya nini, kwa hawa wamalawi sina shida nahisi wataperform. Shida ipo kwa hao wa west Afrika.
Wa west Africa ni nani maana naona wachezaji waliotangazwa ni hao wa Malawi tu.
 
Mkuu unachoongea ni sahihi sana, lakini mimi naona sera ya usajili ya Simba imebadilika kwa sasa. Wanachukua Young and energetic talents ili wapate faida mara mbili au tatu.


1. Uwezo wa kiuchezaji uwanjani.
2. Muda mrefu wa kuwa na mchezaji husika.
3. High re-sale value. Kupata pesa nyingi pale watakapoamua kumuuza (umri unakua bado unadai).

Katika mazingira kama hayo utagundua kwamba watu kama Okwi, Biliat na Kalaba wanakua hawana nafasi tena katika timu.

Angalia umri wa wachezaji wapya waliosajiliwa msimu huu hadi sasa utaligundua hili.

MHILU
BANDA
NYONI
SAKHO

Hawa wakiwa coached vizuri wana manufaa endelevu kwa timu.
 
Mimi sina shida na signings tulizofanya so far tunahitaji mchezaji mwenye resale value baada ya kupanda viwango vyao.

Naangalia situation ya sasa tumepoteza magoli 30+ na hatujajua wachezaji wetu hawa wapya watakuja na moto kiasi gani.
Nilishauri kumrejesha Okwi au kumtafuta Kalaba kwa sababu ya uzoefu wao wanakupa guarantee ya goals hasa Okwi tukumbuke pia Kagere amekuwa off form kwa msimu mzima.

Wachezaji wa ndani wengi wamekuwa off form hawafungi sana wala kutengeneza nafasi.

Uwepo wa Okwi ulikuwa unatuhakikishia magoli 20+ katika mashindano yote pamoja na wachezaji wapya tungeweza kudefend title kwa ligi ya ndani bila tabu na huenda tukarejea tena Quaterfinal kwenye Champions League.

Otherwise tumefanya usajili mzuri tusubiri matokeo uwanjani.
 
We Chama ulikuwa unamfahamia wapi kabla hajaja Simba? Luis ulikuwa unamfahamia wapi kabla hajaja Simba akiwa Ud Songo? Okwi si mchezaji sahihi kuwa simba kwa sasa. Huyu angesajiliwa simba mimi ngejitoa maana ngeona hakuna seriousness kabisa
 
Kwa huu ushauri wako simba mwakan itawabidi warudi tena sokoni kutafuta wachezaj hao hao unaowaona leo hawana cha maana kwa sababu okwi uyo kalaba umri umewatupa sana ata kiwango pia okwi kwa sasa hivi kwa ligi ya bongo ata acheze mechi 30 hatoboi goli 20 uyo kalaba ndio kabisa ,muangie kagere anavyopata shida msimu huu naona na msimu unaokuja bado utakua mgum kwake alaf tena apo apo uongeze hao wengine si sahihi ,mimi naona wasajili hawa hawa vijana wenye vipaji wakija kuungana na wengine wenye uzoefu itakuja kupatikana tu timu nzur ,ila cha kuongezea ambacho muhimu wasajili kulingana na maeneo yenye shida zaid mfano beki wa kati kumzid wawa ,kiungo mkabaji wenye uwezo ambae atakua shap zaid ya mkude na lwanga na kiungo mshambuliaji mmoja ambae atakua anasaidiana na bwalya na pia japo kwa sasa ni ngumu ila kulikua na umuhimu wa namba 9 zaid ya mugalu boko na kagere ,kwa upande wa pemben mabek na mawinga sioni tatizo sana kuna wachezaj weng ambao wanaweza kucheza

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Mkuu uko too much selfish halafu matatizo yako unatujumuisha na wengine.Mtizamo wako binafsi usilazimishe iwe ni mtizamo na mapokeo ya mashabiki wote wa Simba.
 
Eti kuweka pesa mbele kwani chama alikuwa anafanya sadaka pale msimbazi?

Watu wanatafuta maisha wewe unaleta ushabiki maandazi.
 
Kwahiyo kwa wachezaji waliosajili waongeze wengine wenye sifa ulizotaja ?
 
Team haifi...tumetumia B21 ndani ya miaka4..Sasa tunataka irudi hiyo hela haraka iwezekanavyo ndani ya muda mfupi[emoji23][emoji23]tunajaribu kuona hata kama tunawez kuuza na baadhi ya mashabiki ili tufidie hiyo hela kwa haraka[emoji23][emoji23]
Kama manara kauzwa utopoloni
 
Kaka kumbuka mpira ni maslahi ,,kwani huyo chama alipokuja ssc alijulikana kama alivo sasa? Mimi naamn wapo ktk hao waliosajiliwa watapga mbombo ya maana sana na kukusababisha usitoe hizo lawama zako.
 
Kwahiyo kwa wachezaji waliosajili waongeze wengine wenye sifa ulizotaja ?
Maana yangu ni kwamba katika hao wachazaj wawe na sifa izo maana ndio shida sana ya simba kuna eneo lina wachezaj wengi sana lakin eneo la kiungo mkabaji na mshambuaji si wengi sana kama hao wachezaji watakua wa eneo la kiungo ni vizur,nimeona pia beki namba nne ni usajil mzur sio tu usajil ila amekuja kuongeza ktu kama atakua sawa sawa kama alikotoka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…