Mpaka Kieleweke
JF-Expert Member
- Feb 27, 2007
- 4,132
- 1,577
Asante tuwekee huo wasifu, wakati CCM wakiendelea kugombana na rushwa yao Chadema endeleeni kujipanga kwenye majimbo msihofu kuwakaribisha watakaoona wamechezewa rafu ndani ya CCM maana wote ni watanzania wanaopigania taifa lao la tanzania.Jimbo na Halimashauri vitaendelea kuongozwa na CHADEMA , na hivyo wale wote ambao walikuwa na hofu eti Jimbo litapotea waodoe shaka .
Ntawawekea wasifu wa huyu bwana punde .
Leo katika Jimbo la Karatu mrithi wa kiti cha Ubunge katika Jimbo hilo amechukua fomu kwa maandamano makubwa na kusindikizwa na wananchi wa mji wote wa Karatu.
Huyu anaitwa Israel Yohana Natse. Alikuwa mkuu wa Jimbo KKKT ,Jimbo la Karatu .
Karatu is for Chadema!..Period!
Duh....ametoka Padre anaingia Mchungaji!!
ukiona hivyo CCM waliiba hadi basi wakakung'uta hadi za mifukoni bado hazikujaa mwisho wakakubali yaishe.
Hata angekuwa Sheikh,wanachohitaji wananchi wa Karatu ni uongozi bora.Mkiishiwa hoja mnakimbilia kwenye udini,na ndio maana kuna umuhimu mkubwa wa kuiondoa CCM sasa kwa vile katika desperation zenu za kung'ang'ania madaraka mko tayari kututumbukiza kwenye religious conflict.Duh....ametoka Padre anaingia Mchungaji!!
Mpaka leo alikuwa kazini na hivyo kuchukua kwake fomu kutamfanya ajiuzulu kazi yake, wananchi wa Karatu ndio walimfuata na kumtaka yeye ndio awe mgombea wa kiti hicho.
CCM hawataambulia chochote kwenye jimbo hilo , na hivyo mapambano dhidi ya ufisadi kuendelea.
Huyo ndo mtu mwenye akili kuliko wote huko CCM aliyegundua hiyo mbinu!! Sijui picha wataifanyaje!!Ha ha ha Nasikia CCM wanataka kuwafanya Wananchi wa Karatu ni Vilaza sana kiasi cha Kuwaletea Mtu anayeitwa Dr. Wilberd Slaa ili eti wananchi wachanganyikiwe He he he Inabidi wananchi wa Karatu waiadhibu CCM kwa kuwadharau Kiasi cha kuwaona wao hawawezi Kutofautisha kati ya Dr. Wilbroad Slaa ( Mtetezi wa Wanyonge) na Dr. Wilberd Slaa
Tanzania is for chadema. nukta. huyo muisrael wa chadema anaonekana kuwa na mwanzo mzuri
Makamba ndiye alitoa wazo hilo la kutafuta mtu mwenye jina linalofanana na Slaa hata kama hana uwezo, wakampata Dr. Willibard Slaa hiyo ndiyo akili yao ya mwisho kulipata hilo jimbo, nasikia Makamba aliitwa gineus kwa kutoa wazo hilo.Huyo ndo mtu mwenye akili kuliko wote huko CCM aliyegundua hiyo mbinu!! Sijui picha wataifanyaje!!
Makamba ndiye alitoa wazo hilo la kutafuta mtu mwenye jina linalofanana na Slaa hata kama hana uwezo, wakampata Dr. Willibard Slaa hiyo ndiyo akili yao ya mwisho kulipata hilo jimbo, nasikia Makamba aliitwa gineus kwa kutoa wazo hilo.