To hoja acha kutukana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
To hoja acha kutukana
Mfalme ni kiba tu bro diamond ni kijana machachari 17 yrs kwenye game na bado mnashindanisha na huyu ambaye ndo wakat wake now huoni kuna shida mahali?...na huwez kurith kama king kiba is still there subir Stoke kwenye game ndo tumtafute mrith bt to me still ALLY SALEH KIBA ni KING in this industry na ndo maana utaona wale wasanii Wa age yake hawapo kwenye game kitaaambo bt he is still there disturbing WCB to the maximum na hakuna yyte anaewanyima usingizi zaidi yake...kwa maneno mengine tunasema ALI KIBA anaendelea kutamba katika kipindi ambacho alitakiwa awe ameshakwisha kimuziki kama akina Marlaw na wengine...NAWASILISHA.Wanataka kurithi kiti cha ufalme kutoka kwa Mfalme yupi?