Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu terms za mkataba wa Pablo ilikuwa kuchukua Ubingwa wa ligi , nusu fainali CAF ,na FA ,na amefeli pote ,sasa mtu kama huyo atabebwaje... Ila tatizo alikuta wachezaji hakuleta wachezaji anaowajua hata hivo ilikuwa ngumu maana hajui ligi ya Africa na ni mara yake ya kwanza so hata wachezaji wa vilabu vya africa hafahamu vizuri.hivi kumuondoa kocha Ni vurugu. Terms za mkataba wake ni kupata mafanikio fulani ambayo hakuyafikia. Au kumuondoa kichwani kitu ambacho nyiee kinawashangaza.
mna ela ?[emoji57]Mosimane naye kakalia kuti kavu kule Ahly kwa nini tusimchukue yeye
[emoji28][emoji23][emoji28]Acheni dharau bana,haa,,,mambo gani sasa haya.[emoji38]
Huyo kocha kaifanyia nini APR mpaka aweze kurithi mikoba ya Pablo ?
Mechi 50 za ligi ya Rwanda???Kacheza mechi 50 bila kupoteza
yaleyale ya Getafe na Real MadridKacheza mechi 50 bila kupoteza
Hapo kwanza mi nchekeMechi 50 za ligi ya Rwanda???
kwani pablo alikotoka alifanya nn?Huyo kocha kaifanyia nini APR mpaka aweze kurithi mikoba ya Pablo ?
Tuwekee biography yake hapa
Kwa nini msiwape tu vijqna wenu Julio na Matola ili kuokoa mamilioni ya shilingi, mnayotumia kuwalipa fidia hao makocha wa kigeni kila mara!
Kwa Pablo, Simba wamechemsha. Kuna siku watamkumbuka kama walivyofanya kwa Uchebe!Huyo kocha kaifanyia nini APR mpaka aweze kurithi mikoba ya Pablo ?
Labda! Ila si kihivyo . Jamaa uwezo wake wa chini Sana japo kamati ya usajili nayo ilifanya fyongo kwenye usajili wa dirisha kubwa na dogo kuleta wavulana et ndiyo waipambanie timu kutetea ubingwaKwa Pablo, Simba wamechemsha. Kuna siku watamkumbuka kama walivyofanya kwa Uchebe!
Mtaweza kumlipa milioni 200 kwa mwezi?Mosimane naye kakalia kuti kavu kule Ahly kwa nini tusimchukue yeye
Hatushindwi, pesa tunazoMtaweza kumlipa milioni 200 kwa mwezi?