“Mrithi wa Sanchoka” anayetrend sana kwenye Social Networks

“Mrithi wa Sanchoka” anayetrend sana kwenye Social Networks

Fungua uzi
Hamna watizame mwendelezo kuna kitu watajifunza,maana mabinti wakiwaona hawa wadangaji wanao binua na kuanika matako social networks wanachanganyikiwa na kuhisi wamechelewa maisha na tena wakiwaona mara wapo Dubai, Nigeria,Ibiza ,US nk wanavurugwa kabisa ila behind za scene wanafake na biashara yao kubwa ni kujiuza naona sijui soko limemkataa kaingia kwenye upatu,kakutana na makauzu wanamnyosha japo tayari kishawapiga hela zao.
 
Eti tuliofanikiwa hahahah,huu mwandiko uliojaa njaa,Nakupa onyo la mwisho kaa mbali na wapenzi wetu wenye MATAKO MAKUBWA
Kuandika siyo ishu sana nina uncle wangu kwasasa umri umeenda sana alianza kumiliki gari kubwa hizi za biashara (maroli) kusoma kwake tu shida aliotea mali mgodi. Ukimuona huwezi amini kwahiyo mwandiko bado si kipimo sahihi.

Japo kuwa na matako makubwa si dhambi hasa kwa waliojaaliwa naturally kabisa ila hawa wa surgery na kuanza kukaa kaa uchi mitandaoni kwangu bado nawaona bogus..
 
Wanazengo mnamtambua mrembo hapo pichani. Naona anatrend sana mitandaoni ikiewemo IG kiufupi anaonekana kuwa level moja na sanchoka kwenye maswala yalee. Inasemekana anatoka Iringa. Kwa mwenye details zaidi.


Sent using Jamii Forums mobile app
MSAGA SUMU aliwahi kusema huyu malaya aligoma kuonekana kwenye video ya harmonize kwasababu hapendi kuvaa nguo zinazoonesha mwili wake (nusu uchi).

ajabu ni kwamba hizi picha ni za 2020 kabla msaga sumu hajapost 2021, na ajabu zaidi kwenye uzi wa kumsifia kwamba hapendi kuacha mwili wazi kuna picha zinaonesha maungo ya huyu changudoa
 
Back
Top Bottom