“Mrithi wa Sanchoka” anayetrend sana kwenye Social Networks

Yaani bongo ukiwa na matako makubwa tu na kupiga mapicha ya uchi tayari ni star unapewa airtime hadi kwenye media..huu upumbavu wa awamu ya tano inatakiwa ukemewe kwa nguvu zote kwa faida ya vizazi vijavyo
we kijana shatapu umeniuzi sana ,ni marufuku kuwaongelea vibaya dada zetu wenye MAKALIO MAKUBWA ,heshimu rasilimali za nchi
 
Yaani bongo ukiwa na matako makubwa tu na kupiga mapicha ya uchi tayari ni star unapewa airtime hadi kwenye media..huu upumbavu wa awamu ya tano inatakiwa ukemewe kwa nguvu zote kwa faida ya vizazi vijavyo

Kila kitu kina nafasi yake kwenye Maisha. Hata vitabu vya dini vimetwambia kuna majira yakuishi na majira ya kufa. Kuna majira ya mvua na majira ya jua. Sasa usilazimishe wote tuwe na majira ya aina moja.

Wenye matako wana nafasi yao na wenye kufungua tairi za gari wana nafasi zao!

Sasa hao wanaofungua tairi za gairi unataka tuwafanyeje kwa mfano? si ndo kazi yao walichagua kuendesha Maisha yao? hata wenye matako ndo Maisha walichagua.

Sasa wewe ni nani uamulie watu waishi aina Fulani ya Maisha?

Relax pambana na hali yako!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…