Zogwale
JF-Expert Member
- Jul 10, 2008
- 15,295
- 10,928
Kama kweli waliyoandika hawa kina dada ni kweli.Then nawapongeza. Wote wanaonyesha kuwa ni fighters wa maisha na wanasoma na kufanya kazi ambazo kweli ni za jamii au say ni za kiushindani hasa. Sasa tujiulize hao kina dada wa Kitz huko Marekani wanafanya nini? Wanasoma serious? Baada ya masomo wamejishughulisha na kazi descent??? Au tunabaki kubeba mabox na kufanya other donkey works?? Hizo hazina nafasi kwa dunia ya leo. This is a challenge to Tz ladies out there. Kazi kwenu. Huyo wa Uganda amenivutia sana.