Mrs Who Are You yuko wapi ? Marekani na washirika wake wameanza kujibu hili swali huko Iran

Mrs Who Are You yuko wapi ? Marekani na washirika wake wameanza kujibu hili swali huko Iran

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
2,536
Reaction score
7,194
Ni swali tu wakuu

So far sijaona Mchina wala washirika wake wakiitetea Iran kwenye hiki kinachoendelea huko

Yaani Iran kapigwa asubuhi sana kabla raia hawajapata mtori na visusio

Sasa kuna huyu mmoja kutoka Malawi aliwauliza Marekani na washirika wake kuwa who are you?

Naona majibu na salamu zimeanza kuitika huko na yetu matumaini soon hilo swali pia litajibiwa hapa Malawi
 
atakuwa anapiga nyungo baada ya kusikia wananchi wako kwenye mfungo wanaombea huu upepo wa deportuvo la coruna upite nae
 
Back
Top Bottom