Mrusi ampiga risasi msajili kisa kulazimishwa akapigane Ukraine

Mrusi ampiga risasi msajili kisa kulazimishwa akapigane Ukraine

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Ameamua liwalo na liwe, ila hatokwenda kupigana kwenye vita visivyokua na tija au maslahi ya nchi...

=========
  • A Russian man shot the head of a local military draft committee in Siberia on Monday, reports said.
  • A video of the incident shared online shows an official collapsing on stage after a shot rings out.
  • The gunman was detained and the official is in critical condition, the reports said.
A Russian man who was called up to fight in the war in Ukraine shot an official at a local enlistment office, multiple reports said.

The incident took place in the Siberian city of Ust-Ilimsk on Monday and was captured on video, according to The Guardian, Reuters and Independent Russian news outlet The Insider.

The video shows two military officials on stage in front of a group of new recruits who had been called up to fight in the ongoing war in Ukraine, The Insider reported.

Suddenly, a gunshot rings out and one of the officials collapses as everyone else runs out of the enlistment in panic, the video shows.

MSN
 
Sawa wameyataka wenyewe. Lakini cha kushangaza dikteta Putin hawezi kabisa kuruhusu mtoto wake au hata wa ndugu zake wapelekwe Ukraine, ni mpango aliyowaandalia watoto wa makapuku tu. Putin bure kabisa.
 
Sawa wameyataka wenyewe. Lakini cha kushangaza dikteta Putin hawezi kabisa kuruhusu mtoto wake au hata wa ndugu zake wapelekwe Ukraine, ni mpango aliyowaandalia watoto wa makapuku tu. Putin bure kabisa.

Wacha wakipate pate na wao, maana Putin alipoanza kushambulia Ukraine, walichukulia poa na kuchekelea, sasa wanafukuziwa vijiweni kama mbwa, wanasakwa mlango kwa mlango waende wakapigane maana wanajeshi rasmi wameshindwa.
 
Wanajeshi wengi wa Russia walioko Ukraine inaonekana hawataki kupigana kwani wanaona hivi vita ni vya dikteta Putin na wala sio vya Russia hivyo hawaoni sababu ya kumfia huyo dikteta.

Kuna uwezekano kwamba hata hao makuruta anaowapeleka Ukraine nao wanaweza wakagoma kumpigania na kupelekea Russia kushindwa vibaya katika vita alivyoanzisha mwenyewe.
 
Kama wameanza kupigana sasa itakuwaje huko field, watawatungua sana makamanda wao
 
Fashisti Putin lazima akabiliwe kwa namna yoyote ile [emoji52][emoji52]
 
Nimeangalia Aljazeera usiku huu, vijana wamejazwa kwenye bus wengine wanaagana na ndugu zao, inatia simanzi sana, Putin akubali tu kwamba kazingua kuliko kuzingua zaidi.
 
Back
Top Bottom