Mrusi kusafiri kwa miaka 40 kama wana wa Israel

Mrusi kusafiri kwa miaka 40 kama wana wa Israel

KISIWAGA

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2015
Posts
8,022
Reaction score
16,563
Kuna msemo maarufu wa waingireza usemao "history repeats itself"

kwa ninavyoona majeshi ya Urusi huko Ukraine huenda yakatumia miaka 40 kwenda Kyiv kama wana wa Israel walivyotumia miaka 40 kusafiri kutoka misri kwenda Palestine
 
Back
Top Bottom