Ms Leejay is back

Manyanza

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2010
Posts
16,464
Reaction score
35,629
Wasalaam rafiki na Members wote humu.
Kama kichwa cha huu uzi kinavyojieleza rafiki yetu na mpendwa wetu Ms Leejay49 amerudi na anasema amepona.
Nasema Alhamdullilah kwa maombi yenu na dua zenu, Mwenyezi Mungu ametenda na hatimaye tunaye tena hapa jukwaani.
#WelcomeBack Ms Leejay
πŸ₯³πŸ₯³πŸ₯³πŸ₯³
 
Kwakweli haikua rahisi sana kama nilivyokua nadhani,. Lakini naamini kwa uwezo wa Mungu na kwa maombi yenu lilipita salama,. Na ninaendelea vizuri kabisa,.

Ni upendo wa ajabu,. Maana sikua natarajia kama kuna wengine wangekuja kunitembelea Hospitali na Kuja kuniona nyumbani lakini walifika,,. Asante na wengine pia mliokua mnanipigia simu kunijulia hali kila siku,. Hakika nilijiskia kufarijika sana sana sana

Mwenyezi Mungu awalinde wote,. Na awabariki kwa upendo wenuβ€οΈπŸ™
 
Achana na hater huyo ana ugomvi mpaka na moyo
raraa reree sterling ka type hapa πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…