Ms Leejay is back

Tunafurahi kuona umerejeaa ukiwa na afya njema
 
Life is all about โค.
Yote kwa upendo. Karibu tena jukwaani.
 
Barikiwa sana mom....sifa na utukufu tunamrudishia Bwana๐Ÿ™
 
Ni jambo jema na la kushukuru nasi tunamshukuru Mungu kwa ajili ya uponyaji na uzima wako.

Tunakuombea sister Mungu aendelee kukuponya, kukulinda na kukutia nguvu zaidi.

Amani ya Bwana Yesu izidi kukutawala.
 
Mungu ni mkuu hakika.
 

Watu mnapigiana simu na kutembeleana nje ya JF ๐Ÿ™†๐Ÿพโ€โ™‚๏ธ

Speedy recovery. Godspeed ๐Ÿ™๐Ÿพ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ