Msaa da wa sheria ya ardhi.

Msaa da wa sheria ya ardhi.

loulla

Senior Member
Joined
Jun 11, 2016
Posts
125
Reaction score
91
Habari. naomba masaada wa kisheria. Baba yangu alimuuzia rafiki yake eneo baada ya kumuomba wakae wote karibu na hali ya kuaminiana. baada ya kuuziana tu, rafiki yake akaanza kuumwa na kufariki akiliacha eneo chini ya uangalizi wa baba maana tangu anunue hakuwai kufika wala kuliona tena, kipindi kichache alichokua akija alikua akija na wanawake tofautitofauti na kua alikua na watoto ila hawakuwai kufika, ni miaka 11 sasa inaenda 12, ametokea mwanamke mmoja kati ya aliowai kuja nao anaonekana alikua hawara mpenda mali, amekuja na documnts nyingi tunazoisi amezipata kwa njia ambayo si halali, kwakua anadai ni msismamizi wa mirathi ila hajawai kufika na watoto wala ndugu wa marehemu. siku ya kwanza kuja alikuja na mteja na baba alimkatalia kwa kudai hamfahamu na anaitaji watoto wafike ili wasije wakazurumiwa, pia hua hafiki kwenye eneo moja kwa moja anaishia kwa wapimaji wa viwanja akiwa na lengo la kupatiwa hati miliki. Naomba msaada wa kujua tufanyeje.
 
Nina maswali machache kabla ya kutoa ushauri tafadhali.......

1- Wewe ama baba yako mliwahi kuwafaham watoto wa marehemu?

2- Je, katika kipindi hicho chote (miaka 11) Baba yako au wewe hamkuwahi kuwafaham kaka, dada ama ndugu wa karibu wa marehemu?

3- Kama hakuna ndugu ama mtoto wa marehem mlioweza kuwafaham... Je, mliwahi ama ni juhudi gani mliwahi kuzifanya ili kuwafaham ndugu wa marehemu?

4- Je, umetumia vigezo vipi hata mka kujiridhisha kwamba huenda huyo mwanamke alikua hawara na anataka kuwadhulumu watoto wa marehemu?

Ukusha yajibu hayo, then tunaweza tukakushauri. Maana isije ikwa wewe na Baba yako mlisha ingiwa na tamaa baada ya kuona alie nunua shamba ni marehemu na tayari imepita miaka mingi....
 
hatukuwai kuwaona, ila palikua na mtoto ambae marehemu alitupatia namba na kuwai kuzungumza nae kabla ya msiba ila kutokana nakua simu ilipotea atatuliporenew hakuwai kupiga. kwaiy tumeishi tukjua ipo siku atatokea mtoto. njia zingine za kuwapata ndugu zilifail kutokana na kua hapa dar marehemu alikua ni mfanyakazi tu na njia nzuri ingekua ni mda mfupi baada ya kifo ila hakukua na mwenye wazo kua haya yatakuja kutokea plus harakati za maisha siku zikazaa miaka
 
Nina maswali machache kabla ya kutoa ushauri tafadhali.......

1- Wewe ama baba yako mliwahi kuwafaham watoto wa marehemu?

2- Je, katika kipindi hicho chote (miaka 11) Baba yako au wewe hamkuwahi kuwafaham kaka, dada ama ndugu wa karibu wa marehemu?

3- Kama hakuna ndugu ama mtoto wa marehem mlioweza kuwafaham... Je, mliwahi ama ni juhudi gani mliwahi kuzifanya ili kuwafaham ndugu wa marehemu?

4- Je, umetumia vigezo vipi hata mka kujiridhisha kwamba huenda huyo mwanamke alikua hawara na anataka kuwadhulumu watoto wa marehemu?

Ukusha yajibu hayo, then tunaweza tukakushauri. Maana isije ikwa wewe na Baba yako mlisha ingiwa na tamaa baada ya kuona alie nunua shamba ni marehemu na tayari imepita miaka mingi....
tamaa hapana kwakua kaportion kenyewe si kakubwa compared to eneo lililobaki ila pia ni jinsi urafiki ulivyokua na historia za maisha walizosimuliana na hali mbalimbali zilizotokea kabla.
ingekua ni tamaa eneo lisingekua bare mpaka sasa maana vingi vingejengwa.
kuna mwanamke aliwai kuja na gia kama ya huyu akapotea baada ya miezi kadhaa ndipo akatokea huyu na wote wanaclaim hakuna mke mwenza na katika hali ya mwanzo wakati marehemu anakuja alisema mkewe yupo na watoto songea ila mtoto mmoja ambae tulikua tunamuexpect ndiye alikua hapa dar.
 
Muwatafute watoto wa marehemu.

Ina maana miaka 11 mmekaa tu kimya bila kuwaambia wahusika??

mtakuwa wezi na nyie looo
 
Back
Top Bottom