msaa wa mawazo tafadhari.

msaa wa mawazo tafadhari.

dagaa

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2011
Posts
290
Reaction score
379
habari wanajamvini,

mimi ni mke wa mtu ambaye nina mtoto mmoja, kuna kaka mmoja tulimiti muda mrefu kabla yahata mimi kukutana na mume wangu ila tulikuwa marafiki wa karibu sana, mpaka nikawa namfahamu gf wake, kipindi icho mi nilikua sina mtu sababu mpenzi wangu wa kwanza alifariki na ajari, ndo kukutana na huyu ambaye ni mume wangu miaka 3 iliyopita, kwa bahati mbaya yule rafiki yangu akaachana na gf mpaka sasa ana mtu kila anayempata hajatulia.
katika muda wetu uo wa urafiki wetu siku moja alinitamkia akaniambia nakupenda, sikumjibu. tumekaa tena akarudia mi nikamwambia tofauti zetu ni dini nikamwambia naomba tuendelee kuwa marafiki na tusaidiane katika shida na raha.
na ni mtu anayeheshimu ndoa yangu, na kila siku anasema mi nakuombea mema katika ndoa yako. ila nahisi ni kapepo kanaanza kuingia vichwani mwetu, kama miezi kadhaa ivi iliyopita anapenda sana kuniambia we ungekua mke wangu sema ulinikataa, na mimi siku izi nampenda na sa nyingine natamani kumhagi, ila najitaidi sana kutomit naye. na kila siku lazima anipigie sime mchana au mi nimpigie ndo muda tunaokuwa kazini, nami ni mda ambao nipo mbali na ume wangu. hapa jumamosi kanilazimisha nionane nae, naomba ushauri wa kujenga, nami sipendi kumkwaza mume wangu au kumsaliti na bado nampenda na kumweshimu kama mume wangu.
 
Kama unampenda mumeo kama unavyosema sasa unatapatapa nini?
Huijui shida hadi uipate shida na aisifuye mvua immemnyea.
 
TULIA MAMA KAMA UMEOLEWA..HAYO WAACHIE VIJANA SINGLE.IPO SIKU UTAJIKUTA UNAFANYA MAMBO YA AJABU NAE.UTASALITI NDOA YAKO.:israel::israel:
 
Kama unampenda mume wako kuna ulazima gani wa kuendeleza urafiki na mtu ambae mnatamaniana??
 
hadi ukaomba ushauri humu pepo limekukaba kweli...
kimbia zinaaa wewe mama .....
 
Pata picha hizi!

Umetoka naye, umemhug na labda kumkiss; then mkaishia kuDO not once mara za kuzidi tu.

1. After months of kutenda zinaa; jamaa anaanza kuugua ndipo unapogundua kuwa ni muathirika. Imagine utakavyojilaani na kuilaani siku uliyokutana naye!
2. Au mmeendelea, then mumeo kaja kugundua akakuacha. Kwenda kwa huyo jamaa anasema ana mchumba mwingine anataka kumuoa (believe me, hawezi kukuoa kwa kuwa anajua utamcheat kama unavyomcheat mumeo wa sasa)
3. Au ukishaachana na mumeo na ukaolewa na huyu, anakuja kuwa bonge la abuser na player; unajuta unawish umrudie mumeo ambaye amepata mdada anayempenda na kumuheshimu.

believe me mdogo wangu, sioni future scenerio nzuri hata moja, hivyo kupanga ni kuchagua. fuata raha/fun ya muda na uregrect the rest of ur life au learn to love and appreciate your humble husband.
 
Tokea pindi ulipoanza kuchat nae wakati wewe ni mke wa mtu, ndipo ulipoanza kulichimbia kaburi ndoa yako. Si busara kuwa na mawasiliano ya kimapenzi na mtu mwengine ngali wewe umeolewa.
Cha kufanya kwanza mtaarifu mumeo kuhusu uwepo wa huyo kidudu mtu, japo ulikuwa best wake kabla hajakuoa na mushauriane nini cha kufanya, ila hii inategemea na mwanaume muelewa, kama si muelewa kaa kimya ila vunja mawasiliano na huyo kidudu mtu upesi uwezavyo.
Mjali mumeo, mawazo ya kumpenda huyo mwanaume mwengine yatapotea.
 
habari wanajamvini,

mimi ni mke wa mtu ambaye nina mtoto mmoja, kuna kaka mmoja tulimiti muda mrefu kabla yahata mimi kukutana na mume wangu ila tulikuwa marafiki wa karibu sana, mpaka nikawa namfahamu gf wake, kipindi icho mi nilikua sina mtu sababu mpenzi wangu wa kwanza alifariki na ajari, ndo kukutana na huyu ambaye ni mume wangu miaka 3 iliyopita, kwa bahati mbaya yule rafiki yangu akaachana na gf mpaka sasa ana mtu kila anayempata hajatulia.
katika muda wetu uo wa urafiki wetu siku moja alinitamkia akaniambia nakupenda, sikumjibu. tumekaa tena akarudia mi nikamwambia tofauti zetu ni dini nikamwambia naomba tuendelee kuwa marafiki na tusaidiane katika shida na raha.
na ni mtu anayeheshimu ndoa yangu, na kila siku anasema mi nakuombea mema katika ndoa yako. ila nahisi ni kapepo kanaanza kuingia vichwani mwetu, kama miezi kadhaa ivi iliyopita anapenda sana kuniambia we ungekua mke wangu sema ulinikataa, na mimi siku izi nampenda na sa nyingine natamani kumhagi, ila najitaidi sana kutomit naye. na kila siku lazima anipigie sime mchana au mi nimpigie ndo muda tunaokuwa kazini, nami ni mda ambao nipo mbali na ume wangu. hapa jumamosi kanilazimisha nionane nae, naomba ushauri wa kujenga, nami sipendi kumkwaza mume wangu au kumsaliti na bado nampenda na kumweshimu kama mume wangu.

Kwa kuwa unadai kuwa kashetani kanawanyemelea chonde chonde fanya kila linalowezekana kuwa mbali na huyo kijana kwani mwisho wa siku mtaangukia katika uzinifu. Vilevile hii itakusaidia kujenga zaidi mahusiano yako na mumeo wa ndoa. Usipofanya hivyo nadhani hautakuwa na nia ya dhati ya kumpenda mumeo. Wasiwasi ni kwamba mumeo akija tambua mambo hayo hata kama ni mahusiano ya kawaida tu anaweza akaanza kubadilika tabia ama kuwa na wivu ulopindukia au kufanya jambo lolote linaloweza kuhatarisha maisha yenu ie. kuwa na marafiki wa kike kingono au hata kukudhuru wewe mwenyewe.

Tambua kuwa Mungu amekupa mume mwema uwe naye katika maisha yako yote hapa duniani iwe ni kwa shida au kwa raha
 
Unataka ushauri mwema? Mbona umeshayamaliza mwenyewe. Huihitaji ushauri kwani mwenyew umeshatueleza kuwa unachotaka kukifanya sicho!
 
Heshimu ndoa yako mama usije kosa bara na pwani...tulia
 
ndoa ipo ndugu, sema kashetani kasindwe
 
Tulia na mume wako...Kumbuka maamuzi ulioamua, na Agano uliloamua kwa utashi wako kuliweka na huyo mumeo.
Jiulize ingekuwa ni wewe huyo mume ungejisikia je? Au ni mume wako huyo ndio anafanya hivyo ungejisikia je?
 
Pata picha hizi!

Umetoka naye, umemhug na labda kumkiss; then mkaishia kuDO not once mara za kuzidi tu.

1. After months of kutenda zinaa; jamaa anaanza kuugua ndipo unapogundua kuwa ni muathirika. Imagine utakavyojilaani na kuilaani siku uliyokutana naye!
2. Au mmeendelea, then mumeo kaja kugundua akakuacha. Kwenda kwa huyo jamaa anasema ana mchumba mwingine anataka kumuoa (believe me, hawezi kukuoa kwa kuwa anajua utamcheat kama unavyomcheat mumeo wa sasa)
3. Au ukishaachana na mumeo na ukaolewa na huyu, anakuja kuwa bonge la abuser na player; unajuta unawish umrudie mumeo ambaye amepata mdada anayempenda na kumuheshimu.

believe me mdogo wangu, sioni future scenerio nzuri hata moja, hivyo kupanga ni kuchagua. fuata raha/fun ya muda na uregrect the rest of ur life au learn to love and appreciate your humble husband.

funga thread....ushauri wote huu hapa......hakuna zaidi......
 
Yaaani naona kabisa unajilulu kanumba mwenyewe embu mwambie mtatoka na mzee siku anayokutaka uwe nae.Halafu jaribu kuwa karibu na mume wako uwe hata unampiga wakati upo mbali naye manake ndo shetani anapopata nafasi ya wewe kumfikiria huyo.
 
Yaani jamani manamake bana duh shida tupu!!!!, kweli 'NO WOMAN NO CRY', angalia sasa mwanamke kama huyu eti fikiria ni mkeo, bora kuwa bachelor. Yaan hata haoni aibu kueleza kwa uwazi kabisa huo upuuzi wake, hapa ni full umalaya tu hakuna cha kuomba ushauri wala nini. Ok ushauri wangu ni kwamba hiyo j'mos nenda kwake ukiwa hujavaa ile soksi ya ****** ili iwe rahis kwake kuifikia hiyo pochi ya manyoa.
 
We ni malaya tu,mke wa mtu unaejìheshmu utakuaje na mazoea na wanaume wengne bana?
 
ni kama stori ya mbwa na chatu... pamoja na mbwa kujua kwamba atamezwa, bado atajipeleka kwa chatu tu.... very pathetic indeed
 
Back
Top Bottom