dagaa
JF-Expert Member
- Jul 18, 2011
- 290
- 379
habari wanajamvini,
mimi ni mke wa mtu ambaye nina mtoto mmoja, kuna kaka mmoja tulimiti muda mrefu kabla yahata mimi kukutana na mume wangu ila tulikuwa marafiki wa karibu sana, mpaka nikawa namfahamu gf wake, kipindi icho mi nilikua sina mtu sababu mpenzi wangu wa kwanza alifariki na ajari, ndo kukutana na huyu ambaye ni mume wangu miaka 3 iliyopita, kwa bahati mbaya yule rafiki yangu akaachana na gf mpaka sasa ana mtu kila anayempata hajatulia.
katika muda wetu uo wa urafiki wetu siku moja alinitamkia akaniambia nakupenda, sikumjibu. tumekaa tena akarudia mi nikamwambia tofauti zetu ni dini nikamwambia naomba tuendelee kuwa marafiki na tusaidiane katika shida na raha.
na ni mtu anayeheshimu ndoa yangu, na kila siku anasema mi nakuombea mema katika ndoa yako. ila nahisi ni kapepo kanaanza kuingia vichwani mwetu, kama miezi kadhaa ivi iliyopita anapenda sana kuniambia we ungekua mke wangu sema ulinikataa, na mimi siku izi nampenda na sa nyingine natamani kumhagi, ila najitaidi sana kutomit naye. na kila siku lazima anipigie sime mchana au mi nimpigie ndo muda tunaokuwa kazini, nami ni mda ambao nipo mbali na ume wangu. hapa jumamosi kanilazimisha nionane nae, naomba ushauri wa kujenga, nami sipendi kumkwaza mume wangu au kumsaliti na bado nampenda na kumweshimu kama mume wangu.