Msaa wenu wakuu

Msaa wenu wakuu

MK 14

Member
Joined
Nov 6, 2018
Posts
25
Reaction score
12
Kuna mdogo wangu alijiunga chuo cha upolisi CCP moshi mwezi wa 8 mwaka 2010 lakini hakuweza kumaliza mafunzo kwani alikuwa terminated mwezi wa 9 mwaka 2010 kutoendelea na mafunzo kwa kosa la kukutwa na simu, baadae miaka miwili yaani 2012 alijiunga na kozi ya Afya kwa ngazi ya diploma na kuitimu 2015, serikali ikatangaza ajira mwaka huu mwezi wa tank akaomba na akapata nakupangiwa kituo cha kazi sasa baada ya kuripoti kituo cha kazi baadae baada ya kujaza detail zake muhimu kwa afisa muajiri akaja akaambiwa eti inaonekana kama alishawahi kuajiriwa serikalini ndipo alipofuatilia wizara ya utumishi ukakuta Tayari alishatengenezewa check number kipindi yuko CCP ! Na check namba iyo inaonesha aliingia kwenye mpango wa malipo yaani mshaara 8/9/2010 na alikuja kuwa terminated 23/11/2010, anajaribu kufuatilia hili apate haki yake lakini mpaka sasa bado hakijaeleweka. Sasa kuna swali la msingi anajiuliza iweje awe na check number wakati alifukuzwa chuo? Ndugu wakuu humu jf nakujaa kuna watu wazuri na waliobobea katika kutoa ushauli angalau ya kimawazo naombe msaada kwa hilo ?

Natanguliza shukrani, naomba kuwasilisha
 
Kwahiyo mshahara wake ulikua unaingia
 
Kwa detail hizo kutoka wizarani inaonekana mshahara uliingiaa kwa miezi miwili kipindi hayuko chuo CCP na hakuwai kupokea pesa yoyote kipindi yupo hapo ccp , mkuu yeye alifukuzwa mwezi wa Tisa kipindi ndo wameingizwa kwenye mpango huo wa malipo
 
Baadhi ya wataalam wanasema unywaji wa wastani wakati wa ujauzito ni kitu ambacho kinaweza kukubalika ingawa wapo baadhi ya wataalamu wengine wanaoamini kuwa unywaji wa hata glasi moja ya mvinyo (wine) kwa wiki huhatarisha afya ya mtoto wako. Hata hivyo haijulikani kwa hakika, ni kiasi gani cha pombe ni salama kwa makuzi sahihi ya mtoto wako tumboni.
Wataalamu wengi wanashauri kuacha pombe kabisa wakati wa ujauzito. Pombe inaweza kuleta madhara makubwa kwa mtoto wako bila wewe kuhisi madhara yake. Na yanaweza kuwa madhara ya kudumu ambayo ataishi nayo maisha yake yote. Aidha kuna dhana imejengeka kwa baadhi ya
wajawazito kuwa, hawatakiwi kunywa pombe kali kama vodka au whisky tu lakini ni ruksa kutumia aina nyingine za pombe. Hata hivyo dhana hii si sahihi kwa kuwa pombe za aina zote zaweza kuleta madhara makubwa kwa kiumbe aliye tumboni.
Kisayansi takwimu zinaonyesha kwamba unywaji sana wa pombe wakati wa ujauzito huathiri mimba. Ni hili hutokea zaidi katika kipindi cha miezi 3 ya mwanzo (first trimester ), kipindi ambacho viungo vingi vya mwili wa mtoto hufanyika ( organogenesis ).
Nini hutokea unapokunywa pombe wakati wa Ujauzito?
Pombe ni sumu kwa mtoto. Unapokunywa pombe inaingia moja kwa moja kwenye mzunguko wa damu wa mama kasha hufika kwa mtoto kwa kupitia kondo la nyuma ( placenta ).
Mara pombe inapoingia kwenye mzunguko wa damu wa mtoto, huathiri uwezo wa mtoto kupata chakula, virutubisho na oksijeni ya kutosha kwa ajili ya maendeleo ya kawaida katika ubongo na viungo vingine. Hii inaweza kuathiri ubongo wa mtoto na ukuwaji wa viungo vya mwili kwa ujumla.
Uharibifu huu unaweza kuathiri uwezo wa mtoto kujifunza na kufikiri pindi anapozaliwa hali ambayo itajionesha kwa matendo yake kama mtoto na kama mtu mzima.
Aidha, utafiti umeonesha kwamba uwezo wa mimba kustahimili kiwango cha pombe ni mdogo mno hali ambayop huathiri ufanyikaji wa viungo na ukuwaji wake kwa kiasi kikubwa.
Kwa kiasi gani mtoto wako ambaye hajazaliwa anaweza kuathiriwa na pombe?
Kiwango cha kuathirika kwa mimba kutokana na unywaji pombe unaofanywa na mama mjamzito hutegemea sana mambo makuu matatu ambayo ni:
Kiasi cha unywaji wa pombe
hatua ya mimba yaani umri wa mimba
mara ngapi unakunywa pombe
Matatizo yatokanayo na unywaji wa pombe
Baadhi ya madhara yanayoweza kumpata kiumbe aliye tumboni kwa mama kutokana na unywaji wa pombe kipindi cha ujauzito ni pamoja na
Kutoka/kuharibika kwa mimba
Mtoto kuzaliwa akiwa na uzito mdogo
Mtoto kuzaliwa akiwa na ulemavu wa mbavu na kidari ( sternum)
Mtoto kuzaliwa akiwa na matatizo ya mgongo uliopinda (kibiongo) na vidole vilivyoundana
Mtoto kuzaliwa akiwa na kichwa kidog kuliko kawaida (microcephaly )
Mtoto kuzaliwa akiwa na matatizo ya p
Kuzaliwa na matatizo ya taya
Mtoto kuwa na matatizo ya kutokuona mbali
Matatizo ya moyo kama vile moyo kuw na tundu
Matatizo ya figo
Mtoto kuwa na ubongo mdogo na pia matatizo ya akili
Mtoto kuzaliwa akiwa na mdomo sungura ( lip palate na cleft palate )
Matatizo ya kimaumbile ya masikio na ulemavu kwenye sehemu za uzazi (genital malformations ).
Aina mojawapo ya kansa ya chembe nyeupe za damu (Acute Myeloid Leukemia ). Hii ni kwa mujibu wa utafiti uliochapishwa katika
jarida moja la utafiti wa kansa la Marekani lijulikanalo kama Journal of t American Association for Cancer Resear
Ieleweke kuwa, madhara haya si ya muda bali ya kudumu ambayo yanaweza kusababisha kifo kwa mtoto, malezi na makuzi ya tabu na hata hisia mbalimbali katika maisha.
Kama wewe ni mjamzito, ni vizuri kuacha kunywa pombe. Hata hivyo wanawake ambao walikuwa wanatumia pombe wakati wa ujauzito wasiwe na hofu sana na habari hii. Kuna msemo uliozoeleka kitabibu kuwa si kila mvutaji wa sigara anapata kansa ingawa ukweli ni kuwa wavutaji wapo katika
hatari kubwa zaidi. Hali hii pia ina ukweli linapokuja suala la unywaji wa pombe wakati wa ujauzito kwamba si kila mtoto anaathiriwa na unywaji wa pombe ingawa hatari ya kuathirika ni kubwa zaidi. Hivyo basi ni muhimu kwa mama mjamzito kufanya maamuzi sahihi ya maisha ya mtoto wake. Madhara ya Unywaji wa Pombe wakati wa Ujauzito
Kwahiyo mshahara wake ulikua unaingia
 
Jamani wakuu msaada wenu kwa hili ni muhimu sana, maake alifukuzwa kipindi yuko nafunzoni, ana barua ya ajira ya jeshi la polisi wala ata kituo cha kazi iweje atengenezewe check number? Na hiyo ndo inayomletea shida mpaka sasa huu mwezi wa nne sasa hajaingia kwenye paylor sababu ikiwa ni hiyo lakini wenzake wote ambao walilipoti nae walishaingia kitambo!
Kuna mdogo wangu alijiunga chuo cha upolisi CCP moshi mwezi wa 8 mwaka 2010 lakini hakuweza kumaliza mafunzo kwani alikuwa terminated mwezi wa 9 mwaka 2010 kutoendelea na mafunzo kwa kosa la kukutwa na simu, baadae miaka miwili yaani 2012 alijiunga na kozi ya Afya kwa ngazi ya diploma na kuitimu 2015, serikali ikatangaza ajira mwaka huu mwezi wa tank akaomba na akapata nakupangiwa kituo cha kazi sasa baada ya kuripoti kituo cha kazi baadae baada ya kujaza detail zake muhimu kwa afisa muajiri akaja akaambiwa eti inaonekana kama alishawahi kuajiriwa serikalini ndipo alipofuatilia wizara ya utumishi ukakuta Tayari alishatengenezewa check number kipindi yuko CCP ! Na check namba iyo inaonesha aliingia kwenye mpango wa malipo yaani mshaara 8/9/2010 na alikuja kuwa terminated 23/11/2010, anajaribu kufuatilia hili apate haki yake lakini mpaka sasa bado hakijaeleweka. Sasa kuna swali la msingi anajiuliza iweje awe na check number wakati alifukuzwa chuo? Ndugu wakuu humu jf nakujaa kuna watu wazuri na waliobobea katika kutoa ushauli angalau ya kimawazo naombe msaada kwa hilo ?

Natanguliza shukrani, naomba kuwasilisha
 
Hana barua ya ajira wala ata kituo cha kazi kwann atengenezewe check number wakati alikuwa ni mwanafunzi hapo CCP ? Kwann apate kadhia ambayo hastaili kuipata kwa sasa?
Jamani wakuu msaada wenu kwa hili ni muhimu sana, maake alifukuzwa kipindi yuko nafunzoni, ana barua ya ajira ya jeshi la polisi wala ata kituo cha kazi iweje atengenezewe check number? Na hiyo ndo inayomletea shida mpaka sasa huu mwezi wa nne sasa hajaingia kwenye paylor sababu ikiwa ni hiyo lakini wenzake wote ambao walilipoti nae walishaingia kitambo!
 
Unahesabika kuwa umeajiriwa pindi tu unapoingia chuoni, yaani tarehe uliyoripoti chuo katika haya majeshi, sasa afanye hivi andika barua kwa katibu mkuu kiongozi kupitia utumishi ili aweze kupewa hiyo check namba yake aendelee kuitumia, muhimu ni kuwa mvumilivu.
 
Mkuu barua ilishaandikwa tena kuojiwa jinsi situation ilivokuwa kufukuzwa kwake, na aliulizwa je alishawahi kupewa mshahara ?akasema hajawahi kupewa pesa yoyote na serikali kwa maana ya mshahara, na akaulizwa pia alijiunga chuo cha Afya mwaka gani na barua hiyo iliandikwa kwa kupitia afisa utumisi wa eneo la kazi alilopangiwa, mwezi sasa umepita,

Back
Top Bottom