Kuwa na website hapo pana maelezo zaidi, kama vile je utakuwa na server yako mwenyewe? au utahitaji ISP a-host hiyo web yako katika server zake?
Kuhusiana na usajili hilo ni suala la Brella, hao ndiyo wanahusika na usajili wa makampuni, kuhusu muda ni mara baada ya kukamilisha kuhakiki taarifa za hiyo kampuni kama ilivyoelekezwa katika form zao, japo suala hili hutawaliwa na urasimu zaidi ila nimeshau the specific time mentioned.
Pia inategemea je unahitaji business name? au Limited comapany.