C.T.U
JF-Expert Member
- Jun 1, 2011
- 5,074
- 3,743
wakuu naomba kuuliza swali ?
Mfano mtu anataka kuanzisha something like website ambayo itakuwa na software application yake kwa both PC na mobiles sawa je jinsi ya kupata leseni kwa biashara ya namna hii yaweza kugharimu kiasi gani??
Je leseni ya kibiashara inachukua muda gani??
Je apart leseni ya biashara ni process gani ambazo zinatakiwa zifuatwe mpaka kuweza kuifanya hii biashara na ikatambulika kama biashara halali??
Naombeni msaada katika hili coz nimeshindwa kufuatilia coz niko mbali kidogo na bongo
mdau afrika
mdau, ughai