Chomx_active
Member
- Nov 27, 2015
- 9
- 9
Msaaada kujua kama ofisi za Baraza la mitihani Tz, je zimeamishiwa Dodoma au bado wapo Dar, nipo Arusha kwa hiyo nataka nijue wapi kwa kwenda!
Natanguliza shukrani
Natanguliza shukrani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa dar zipo sinza bamaga karibu na startimes na TBC, cjajua kama zimehamishiwa dom
BamagaJamani naomba kuuliza office za necta zipo wapi mm nipo pwani
Ukiwa Mbezi Louis ,kibamba au Kimara panda gari za Makumbusho shuka Bamaga mbele kidgo Kuna posta halafu gate linalofuata ndo hapo.Jiran na Startimes.Jamani naomba kuuliza office za necta zipo wapi mm nipo pwani