wewe visa una zani utapewa na nani... ukiwa una toka wapi una enda wapi....? na ukiwa ni raia wa nchi gani? ukiwa tanzania na ni raia wa tanzania ni lazima ujue safari yako ni kuelekea wapi... ili uende kwenye ubalozi usika...
kumbuka lugha ya mawasiliano kimataifa na kibiashara kimataifa ni kizungu... hata ukienda ubalozi wa china, rassia... ili wageni wasio fahamu kichina au ki russia, hapa kizungu ndio kita tumika sio kiswahili... kiswahili, nazani kita chukua nafasi ukikamatwa huko nje na ukitaka kujifanya ujui kizungu ni kiswahili, hapo wata lazimika kukutafutia mkalimani ili wapate wanacho kiitaji toka kwako...