Msaaada: Nini kinafanya WhatsApp yangu ifungiwe kila wakati?

Da'Vinci

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2016
Posts
35,812
Reaction score
107,628
Habari,

Namba kuuliza, nimekuwa nikifungiwa Acc yangu ya wasap kila mara napotumia mtu text. Hii imeanza kutokea baada ya kubarisha simu, nashindwa kuelewa kama shida ni simu au nini!

Maana wao wananiambia nimetuma spam massage but nakua sijatuma na sina magroup yoyote kwenye simu yangu!

Wakinifungia wanasema kua nilifungiwa kimakosa. Ndani ya hii wiki nishafungiwa kama mara 5.

Nifanyaje wakuu?

Screenshot_20250228-194012.png

Screenshot_20250228-194044.png

Baada ya kureview Acc yangu SASA...
Screenshot_20250301-120151.png

Ushajaribu kuifuta na kuipakua mpya..?
vipi umesha restart simu..?
kama hujafanya hivyo vitu vifanye
Ushajaribu kuifuta na kuipakua mpya..?
vipi umesha restart simu..?
kama hujafanya hivyo vitu vifanye
Ushajaribu kuifuta na kuipakua mpya..?
vipi umesha restart simu..?
kama hujafanya hivyo vitu vifanye
Sio kupakua tu app Bali hii simu nayotumia ni ya tatu. Kila nikibadirisha simu wanafunga Acc na tatizo ni Hilo Hilo. Sielewi nifanyaje
 
ulishawahi kutumia wasapu nyengine tofauti na ile official..?
 
Line ipo simu iyo iyo?
Kwanza tatizo Lilianza kwenye simu niliyokua natumia na laini ya tigo. Wakafunga nikafuta nikapakua Upya nikajiunga baada ya muda wakafungia. Nikabadili simu na laini.. wakafungia. Nikabadili simu nyingine hii nayo ndio hivyo hivyo. Sijui nifanyaje
 
Habari,

Namba kuuliza, nimekuwa nikifungiwa Acc yangu ya wasap kila mara napotumia mtu text. Hii imeanza kutokea baada ya kubarisha simu, nashindwa kuelewa kama shida ni simu au nini!

Maana wao wananiambia nimetuma spam massage but nakua sijatuma na sina magroup yoyote kwenye simu yangu!

Wakinifungia wanasema kua nilifungiwa kimakosa. Ndani ya hii wiki nishafungiwa kama mara 5.

Nifanyaje wakuu?

Baada ya kureview Acc yangu SASA...
Unatumia simu gani kama ni oppo,vivo ndio huwa zinaizo changamoto
 
Kwanza tatizo Lilianza kwenye simu niliyokua natumia na laini ya tigo. Wakafunga nikafuta nikapakua Upya nikajiunga baada ya muda wakafungia. Nikabadili simu na laini.. wakafungia. Nikabadili simu nyingine hii nayo ndio hivyo hivyo. Sijui nifanyaje
Badili namna ya kutumia whatsAPP
 
Back
Top Bottom