Msaaada: Nini kinafanya WhatsApp yangu ifungiwe kila wakati?

Msaaada: Nini kinafanya WhatsApp yangu ifungiwe kila wakati?

U
Kwanza tatizo Lilianza kwenye simu niliyokua natumia na laini ya tigo. Wakafunga nikafuta nikapakua Upya nikajiunga baada ya muda wakafungia. Nikabadili simu na laini.. wakafungia. Nikabadili simu nyingine hii nayo ndio hivyo hivyo. Sijui nifanyaje
Umewahi tumia simu ya oppo
 
Badili namna ya kutumia whatsAPP
Mkuu baada ya kufungiwa kwenye simu ya Kwanza yenye Laini ya Tigo, nilisajili Airtel na kubadirisha simu na kutumia Samsung. Nikapigwa ban tena... Ndo nikahamia kwenye hii nayotumia sasa
 
Ahsanteni Kwa majibu yenu.... Nimeelewa sasa
Tafuta simu nyingine ambayo sio oppo, aquas, au vivo mtumba kutoka dubai tafuta hizi simu mpya za kwenye box au kama hizo ambazo mtu alishanunua mda

Na katika hizo simu mpya usiweke hizo lain ambazo zinasumbua whatsApp weka line mpya kabisa
 
Mkuu baada ya kufungiwa kwenye simu ya Kwanza yenye Laini ya Tigo, nilisajili Airtel na kubadirisha simu na kutumia Samsung. Nikapigwa ban tena... Ndo nikahamia kwenye hii nayotumia sasa
Lakini kaka wakikupiga ban wanakuwa wanatoa sababu kwanini wamekupiga ban.
 
Wasap wanatuonea sana siku hizi sababu ni kama hana mpinzani.

Vijana wa kitanzania anzisheni WhatsApp ya kibongo copy and paste, hata ikianza kutumika dar tu safi
 
Habari,

Namba kuuliza, nimekuwa nikifungiwa Acc yangu ya wasap kila mara napotumia mtu text. Hii imeanza kutokea baada ya kubarisha simu, nashindwa kuelewa kama shida ni simu au nini!

Maana wao wananiambia nimetuma spam massage but nakua sijatuma na sina magroup yoyote kwenye simu yangu!

Wakinifungia wanasema kua nilifungiwa kimakosa. Ndani ya hii wiki nishafungiwa kama mara 5.

Nifanyaje wakuu?

Baada ya kureview Acc yangu SASA...
Tunataka Ushiriki wako "Kuua Viwanda vya Tanzania" hii nchi ingeizidi china kwa Uchumi
 
Tunataka Ushiriki wako "Kuua Viwanda vya Tanzania" hii nchi ingeizidi china kwa Uchumi....

Ukikutana na Solution ya tatizo na halitatuliki ujue hata mie hilo tatizo ninalo hadi kwenye Ngozi

M23 tabia
IMG_20250302_095214.jpg
 
Back
Top Bottom