Ushajaribu kuifuta na kuipakua mpya..?
vipi umesha restart simu..?
kama hujafanya hivyo vitu vifanye
Ushajaribu kuifuta na kuipakua mpya..?
vipi umesha restart simu..?
kama hujafanya hivyo vitu vifanye
Sio kupakua tu app Bali hii simu nayotumia ni ya tatu. Kila nikibadirisha simu wanafunga Acc na tatizo ni Hilo Hilo. Sielewi nifanyajeUshajaribu kuifuta na kuipakua mpya..?
vipi umesha restart simu..?
kama hujafanya hivyo vitu vifanye
Mimi mwenyewe Nina tatizo Kama lakoSio kupakua tu app Bali hii simu nayotumia ni ya tatu. Kila nikibadirisha simu wanafunga Acc na tatizo ni Hilo Hilo. Sielewi nifanyaje
ulishawahi kutumia wasapu nyengine tofauti na ile official..?Sio kupakua tu app Bali hii simu nayotumia ni ya tatu. Kila nikibadirisha simu wanafunga Acc na tatizo ni Hilo Hilo. Sielewi nifanyaje
Ila maneno ya kiswahili bhana! Eti 'kuipakua'Ushajaribu kuifuta na kuipakua mpya..?
vipi umesha restart simu..?
kama hujafanya hivyo vitu vifanye
Kwanza tatizo Lilianza kwenye simu niliyokua natumia na laini ya tigo. Wakafunga nikafuta nikapakua Upya nikajiunga baada ya muda wakafungia. Nikabadili simu na laini.. wakafungia. Nikabadili simu nyingine hii nayo ndio hivyo hivyo. Sijui nifanyajeLine ipo simu iyo iyo?
Unawaza ujinga tu lione..🤣Ila maneno ya kiswahili bhana! Eti 'kuipakua'
hilo zimwi lako ndugu pambana ama badili no!Hapana. Within 2weeks nimetuma simu 3 ila Hali iko vilevile
Unatumia simu gani kama ni oppo,vivo ndio huwa zinaizo changamotoHabari,
Namba kuuliza, nimekuwa nikifungiwa Acc yangu ya wasap kila mara napotumia mtu text. Hii imeanza kutokea baada ya kubarisha simu, nashindwa kuelewa kama shida ni simu au nini!
Maana wao wananiambia nimetuma spam massage but nakua sijatuma na sina magroup yoyote kwenye simu yangu!
Wakinifungia wanasema kua nilifungiwa kimakosa. Ndani ya hii wiki nishafungiwa kama mara 5.
Nifanyaje wakuu?
Baada ya kureview Acc yangu SASA...
Badili namna ya kutumia whatsAPPKwanza tatizo Lilianza kwenye simu niliyokua natumia na laini ya tigo. Wakafunga nikafuta nikapakua Upya nikajiunga baada ya muda wakafungia. Nikabadili simu na laini.. wakafungia. Nikabadili simu nyingine hii nayo ndio hivyo hivyo. Sijui nifanyaje
Ungejaribu kuangalia YouTubeAqous
vijana wa jakaya mna tafsiri nyingi mno za neno moja kuzidi vijana wa Ben na mwinyi,Ila maneno ya kiswahili bhana! Eti 'kuipakua'