Huwezi tumia procedures za TCU kama ulidahiliwa NACTE kwani info zako zote ziko NACTE siyo TCU. Wapigie NACTE simu uulize utaratibu. Namba za wawakilishi wa NACTE mikoani ziko fb ya NACTE.
Ikishindikana, taratibu za transfer subiri hadi j3 ijayo zitawekwa kwenye website yao(tetesi) kwani sasa bado wanashughulika na selection.