Msaaada: Procedure za kubadili chuo kupitia NACTE

Msaaada: Procedure za kubadili chuo kupitia NACTE

nyanta

Member
Joined
Sep 18, 2014
Posts
21
Reaction score
0
Habari,

Waungwana nilimepata college kwa kupitia NACTE Je! nikitaka badil collge nitumie procedure za tcu ama zipo pia za nacte, Plz nisaidien kabla muda haujakwisha
 
mimi naona ni hizo hizo za TCU sababu kwenye form ile kuna applicant category ambayo kuna form six, foreign certificate etc ambayo inaweza kua tena diploma na wengineo kama wapo
 
Huwezi tumia procedures za TCU kama ulidahiliwa NACTE kwani info zako zote ziko NACTE siyo TCU. Wapigie NACTE simu uulize utaratibu. Namba za wawakilishi wa NACTE mikoani ziko fb ya NACTE.

Ikishindikana, taratibu za transfer subiri hadi j3 ijayo zitawekwa kwenye website yao(tetesi) kwani sasa bado wanashughulika na selection.
 
Aksante saaaaaana kwa ushauli basi ngoja niwapigie simu
 
kuna jamaa alienda kuulizia mambo hayo hayo ya transfer akaambiwa asubiri mpaka wiki ijayo watatoa utaratibu ktk website yao
 
Back
Top Bottom