Heshima mbele waungwana,
kwa muda sasa ndugu yangu amekuwa na tatizo la kupata ganzi mwili mzima. ganzi hiyo huanzia miguuni kwenye nyayo na kupanda taratibu kwa siku kadhaa sasa imefika hadi maeneo ya tumbo. yaani inakuwa kama kuna vitu vinachomachoma kwa ndani, kiasi kwamab hata akigusa kitu hahisi chochote. baada ya muda katika tatizo hili, akaanza kuwashwa mwili mzima, kila akijikuna anatoka baka la ajabu. naomba msaada wa kitabibu namna ya kumsaidia.
nawasilisha