Msaaada: tatizo la ganzi na kuwashwa mwili mzima

Baba JJ

Senior Member
Joined
Feb 15, 2013
Posts
194
Reaction score
98
Heshima mbele waungwana,

kwa muda sasa ndugu yangu amekuwa na tatizo la kupata ganzi mwili mzima. ganzi hiyo huanzia miguuni kwenye nyayo na kupanda taratibu kwa siku kadhaa sasa imefika hadi maeneo ya tumbo. yaani inakuwa kama kuna vitu vinachomachoma kwa ndani, kiasi kwamab hata akigusa kitu hahisi chochote. baada ya muda katika tatizo hili, akaanza kuwashwa mwili mzima, kila akijikuna anatoka baka la ajabu. naomba msaada wa kitabibu namna ya kumsaidia.

nawasilisha
 
Mpeleke akapime kisukari
 
Kama hajawahi kupima kisukari, ni bora akapime sasa na kupata ushauri wa daktari
 
Back
Top Bottom