KIBURUDISHO
JF-Expert Member
- Mar 28, 2011
- 1,002
- 277
Hashima iwe kwenu madaktari mdau wa kike anaomba msaada afanyeje ili kuzuia tatizo alilonalo la kuingia kwenye siku zake mfululizo baada ya kutumia uzazi wa kutumia kijiti tokea amefungwa anasema ni miezi minne sasa zilikuwa zinatoka kidogokidogo ila kuanzia wiki mbili zilizopita tatizo hilo limezidi anaomba msaada wa mawazo afanye nini kukabiliana na tatizo hilo.