Msaaada wa haraka kuzuia kubleed

Msaaada wa haraka kuzuia kubleed

KIBURUDISHO

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2011
Posts
1,002
Reaction score
277
Hashima iwe kwenu madaktari mdau wa kike anaomba msaada afanyeje ili kuzuia tatizo alilonalo la kuingia kwenye siku zake mfululizo baada ya kutumia uzazi wa kutumia kijiti tokea amefungwa anasema ni miezi minne sasa zilikuwa zinatoka kidogokidogo ila kuanzia wiki mbili zilizopita tatizo hilo limezidi anaomba msaada wa mawazo afanye nini kukabiliana na tatizo hilo.
 
Kwa kawaida Hilo tatizo huwepo kama miezi minne ya mwanzo badae anakaa sawa lakini kama litaendelea zaidi itabidi akabadili njia ya uzazi wa mpango
Ajaribu kutumia njia hisiyo na Vichochezi vya mwili (Hormones) namaanisha Njia kama Kitanzi
 
Asante kwa ushauri
 
Atumie Doxycycline kwa siku 5 tuu anapona kabixa,mpe pole sana mm ni Dr
mmmhhh!!! mkuu samahan kidogo na usinifikrie vibaya napenda utufahamishe vema, doxy ktk hili inahusika vip?!?!!!! ńavyoelewa doxy n antibiotics na kazi ya iz dawa yaweza kua kuuwa( bacteriocide) au kudumaza wadudu yaan bacteriostatic) sasa kwenye suala kama hili ndg yang kuťoka damu kulikosababishwa na njia za uzaz wa mpango iyo doxy inaafanya nn yaan physiological,,

emu tuelimishane eti mkuuu tafadhar
 
Kwa kawaida Hilo tatizo huwepo kama miezi minne ya mwanzo badae anakaa sawa lakini kama litaendelea zaidi itabidi akabadili njia ya uzazi wa mpango
Ajaribu kutumia njia hisiyo na Vichochezi vya mwili (Hormones) namaanisha Njia kama Kitanzi
yeap lakn kwa miez mnne mkuu akiwa anatoka mfululizo mmmnnhhhhhh n kawaida mi nadhan itakua haimsitahil njia hyo haiendani na mwil wake ata angevuja week mbili haimstahili ila endapo inatoka kama mabonge mabonge au kidogo inakata yaan inabadlika badilika apo sawa itakaa vema lakn kutokwa dam mfuululizo kbs miez minne damu nyingi apana, inabid kama ulvyomshauri akabadili njia nyingne
 
Back
Top Bottom