KIBURUDISHO
JF-Expert Member
- Mar 28, 2011
- 1,002
- 277
Asante kwa ushauriKwa kawaida Hilo tatizo huwepo kama miezi minne ya mwanzo badae anakaa sawa lakini kama litaendelea zaidi itabidi akabadili njia ya uzazi wa mpango
Ajaribu kutumia njia hisiyo na Vichochezi vya mwili (Hormones) namaanisha Njia kama Kitanzi
mmmhhh!!! mkuu samahan kidogo na usinifikrie vibaya napenda utufahamishe vema, doxy ktk hili inahusika vip?!?!!!! ńavyoelewa doxy n antibiotics na kazi ya iz dawa yaweza kua kuuwa( bacteriocide) au kudumaza wadudu yaan bacteriostatic) sasa kwenye suala kama hili ndg yang kuťoka damu kulikosababishwa na njia za uzaz wa mpango iyo doxy inaafanya nn yaan physiological,,Atumie Doxycycline kwa siku 5 tuu anapona kabixa,mpe pole sana mm ni Dr
yeap lakn kwa miez mnne mkuu akiwa anatoka mfululizo mmmnnhhhhhh n kawaida mi nadhan itakua haimsitahil njia hyo haiendani na mwil wake ata angevuja week mbili haimstahili ila endapo inatoka kama mabonge mabonge au kidogo inakata yaan inabadlika badilika apo sawa itakaa vema lakn kutokwa dam mfuululizo kbs miez minne damu nyingi apana, inabid kama ulvyomshauri akabadili njia nyingneKwa kawaida Hilo tatizo huwepo kama miezi minne ya mwanzo badae anakaa sawa lakini kama litaendelea zaidi itabidi akabadili njia ya uzazi wa mpango
Ajaribu kutumia njia hisiyo na Vichochezi vya mwili (Hormones) namaanisha Njia kama Kitanzi