habari wanajamvini,
nimekuwa nikitamani kufanya biashara ya kuuza vitenge.
Nimesikia fununu kuwaTunduma /Mwanza mpakani na ........./Congo ndo maarufu wa uuzaji wa vitenge kwa bei nafuu. je kuna ukweli juu ya hilo? na je vipi kuhusu urahisi wa upatikanaji wake?
Asanteni kwa maelezo yenu