rasmanyara
Senior Member
- Sep 12, 2011
- 197
- 18
Habari ndugu. Naombeni msaada wa kujua ni madhara gani yanaweza mpata msichana mjamzito yeye au kiumbe alicho nacho akiwa ana ugonjwa wa Brusela(unaosababishwa na nyama isiyoiva vizuro). Naombeni mwenyekuja anifahamishe. Asante