rasmanyara Senior Member Joined Sep 12, 2011 Posts 197 Reaction score 18 May 26, 2013 #1 Habari ndugu. Naombeni msaada wa kujua ni madhara gani yanaweza mpata msichana mjamzito yeye au kiumbe alicho nacho akiwa ana ugonjwa wa Brusela(unaosababishwa na nyama isiyoiva vizuro). Naombeni mwenyekuja anifahamishe. Asante
Habari ndugu. Naombeni msaada wa kujua ni madhara gani yanaweza mpata msichana mjamzito yeye au kiumbe alicho nacho akiwa ana ugonjwa wa Brusela(unaosababishwa na nyama isiyoiva vizuro). Naombeni mwenyekuja anifahamishe. Asante