Technician
JF-Expert Member
- Mar 30, 2010
- 841
- 222
Msaada jamani wana JF mwenye CD yake naomba anipatie
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe hata Filamu haijatoka kwenye majumba ya kuonyeshea unataka CD!? Subiri at least two months utapata DVD na Blu-ray Disc.
Nadhani within three months itakuwa mitaani...!Aksante paster,Nilidhani imeshatoka huko majuu.Tz mpaka ifike mwaka ujao,poa tutasubiri tuu ndio kazi yetu.