Msaad wa kishekiria tafadhari

Msaad wa kishekiria tafadhari

MtoMsimbazi

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2009
Posts
1,800
Reaction score
3,091
Kuna rafiki yangu anaishi na mkewe ila jamaa alimkuta mkewe na mtoto moja na yeye akazaa nae mtoto moja hivyo dada anawatoto 2 na rafiki yangu anamtoto 1, tatizo lililopo baba wa mtoto anapiga simu saa 3 usiku anataka kuongea na mwanae na pia mdogo wa mtoto wake kupitia simu ya mke wa rafiki yangu je hapa kisheria huyu mtoto anatakiwa ( au mazingira) ya huyu mtoto wa kwanza (mwenye baba anaepiga simu saa 3 usiku ) yanatakiwa yaweje ili nimsaidie rafiki yangu kwakuwa anakwazika sana na simu za jamaa wakati wa usiku.
 
Hakuna cha sheria, inaitaji tu busara na huyo jamaa Ataka tu kuharibu Amani ya watu, he needs to be solid that is it, like putting roles, meet him and talk to him, for him to keep his baby is a great favor, he must appreciate that real.
 
You can sue him basing your claim on tort of nuisance. An order for restrain may be obtained from the court. Lakini kama alivyosema mmoja wapo hapo juu, ongea naye umweleze kuwa hutaki ampigie mke wako!!! Ndilo tatizo la kuoa "KAYAMBA"!!! In passing, Kwani wasichana hakuwaona mpaka aoe mwanamke aliyezaa!!! Anyway, ni mapenzi yake.
 
Back
Top Bottom