james bendui
JF-Expert Member
- Dec 3, 2015
- 693
- 690
Msaada wana jf mm nipo njee ya dar es salaam ila na ndugu yangu yp dar ss ninamilion mojaa kunavitu nataka nimuombe anisaidie kununua ukweli sifahamu bei yk kwa sasa na pia sijui ainaa ipii ni bora zaid niwaombe wana jf anayefahamu anisaidie kwa swalaa hiloo
Frijiii nzurii inayowezaa kitengeneza ubaridi kwa harak, ovenaa ya kuoka mkate inayotumia gas na umeme km ipo na Brenda ya kutengenez juicee ambayo ni imara zaid na kubwaa kidogoo..
Hiyo ela haitoshi unless unanunua vitu used... ongeza kidogo na uje ununue mwenyewe and by the way ingia instagram mcheck huyu jamaa anaitwa amazing lifestyle anauza hivyo vitu na mkoani anatuma anaweza kukusaidia kuliko kupitisha ela kwa mtu maana ana duka la hivyo vifaaMsaada wana jf mm nipo njee ya dar es salaam ila na ndugu yangu yp dar ss ninamilion mojaa kunavitu nataka nimuombe anisaidie kununua ukweli sifahamu bei yk kwa sasa na pia sijui ainaa ipii ni bora zaid niwaombe wana jf anayefahamu anisaidie kwa swalaa hiloo
Frijiii nzurii inayowezaa kitengeneza ubaridi kwa harak, ovenaa ya kuoka mkate inayotumia gas na umeme km ipo na Brenda ya kutengenez juicee ambayo ni imara zaid na kubwaa kidogoo..
Asante kwa msaadaa mkuu nitapitaa insta nimuangalieeHiyo ela haitoshi unless unanunua vitu used... ongeza kidogo na uje ununue mwenyewe and by the way ingia instagram mcheck huyu jamaa anaitwa amazing lifestyle anauza hivyo vitu na mkoani anatuma anaweza kukusaidia kuliko kupitisha ela kwa mtu maana ana duka la hivyo vifaa
Asipofika Mnara wa Askari atakuwa hajafika Dar es salaamJiandae kutapeliwa maisha magumu wewe unatamanisha watu kwa kuwatumia pesa msimu huu wa sikukuu?? Karibu na January.......ushauri ongezea pesa kiasi kidogo UJipange uende pekeyako ukapajue na daresaalaama jiji la raha.
Usisahau kwenda kigamboni, samaki samaki, Mliman city, mbalamwezi ujionee vitu vya wazungu kidogo[emoji290] [emoji288] [emoji289]
Bila kusahau daraja la kigamboni na kupanda mwendokasiAsipofika Mnara wa Askari atakuwa hajafika Dar es salaam
Friji laki 4Msaada wana jf mm nipo njee ya dar es salaam ila na ndugu yangu yp dar ss ninamilion mojaa kunavitu nataka nimuombe anisaidie kununua ukweli sifahamu bei yk kwa sasa na pia sijui ainaa ipii ni bora zaid niwaombe wana jf anayefahamu anisaidie kwa swalaa hiloo
Frijiii nzurii inayowezaa kitengeneza ubaridi kwa harak, ovenaa ya kuoka mkate inayotumia gas na umeme km ipo na Brenda ya kutengenez juicee ambayo ni imara zaid na kubwaa kidogoo..
Mh!! Itabaki kweli hiyo hela!!!!?Jiandae kutapeliwa maisha magumu wewe unatamanisha watu kwa kuwatumia pesa msimu huu wa sikukuu?? Karibu na January.......ushauri ongezea pesa kiasi kidogo UJipange uende pekeyako ukapajue na daresaalaama jiji la raha.
Usisahau kwenda kigamboni, samaki samaki, Mliman city, mbalamwezi ujionee vitu vya wazungu kidogo[emoji290] [emoji288] [emoji289]
Frijii aina gn nzurii mkuu na hy brendaa ya 250 sifa zk zi kojeeFriji laki 4
Brenda heavy duty laki 250
Nitahitahidi nipate pichaFrijii aina gn nzurii mkuu na hy brendaa ya 250 sifa zk zi kojee
Nitashukuruu mkuuNitahitahidi nipate picha