james bendui
JF-Expert Member
- Dec 3, 2015
- 693
- 690
Msaada wana jf mm nipo njee ya dar es salaam ila na ndugu yangu yp dar ss ninamilion mojaa kunavitu nataka nimuombe anisaidie kununua ukweli sifahamu bei yk kwa sasa na pia sijui ainaa ipii ni bora zaid niwaombe wana jf anayefahamu anisaidie kwa swalaa hiloo
Frijiii nzurii inayowezaa kitengeneza ubaridi kwa harak, ovenaa ya kuoka mkate inayotumia gas na umeme km ipo na Brenda ya kutengenez juicee ambayo ni imara zaid na kubwaa kidogoo..
Frijiii nzurii inayowezaa kitengeneza ubaridi kwa harak, ovenaa ya kuoka mkate inayotumia gas na umeme km ipo na Brenda ya kutengenez juicee ambayo ni imara zaid na kubwaa kidogoo..