Sumba-Wanga
JF-Expert Member
- Feb 2, 2011
- 5,353
- 1,234
Wandugu,
Naomba kufahamu. Naelewa kwamba kuna wanawake wana 21 days za Mp cycle.
Hivi inafanyaje kazi?
Siku gani ni za hatari na zipi ni safe?
Ana tofauti gani na mwanamke mwenye mzunguko wa siku 28?:confused2:
cc MziziMkavu

Last edited by a moderator: