Msaada: A Gynacologist in Dar Es Salaam

Sumba-Wanga

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2011
Posts
5,353
Reaction score
1,234
Wana Jamvi,

Naomba kama kuna mtu anamfahamu dakatari wa akina mama ambaye anaweza kumsaidia auntie yangu ambaye ana matatizo ya kushika mimba.

Nitashukuru kama nitapata jina lake, namba zake za simu na wapi anapatikana (ratiba yake itasaidia zaidi).

Natanguliza shukrani zangu
 
nenda muhimbili wapo kibao hapo ndo utapata hata appointment

Asante kwa ushauri Mkuu.
Ila naogopa usumbufu, hasa uzikizinagtia inasemekana kwamba mgomo wa ma dr. unaendelea kimya kimya.
Ningependa zaidi private clinics.
 
Asante kwa ushauri Mkuu.
Ila naogopa usumbufu, hasa uzikizinagtia inasemekana kwamba mgomo wa ma dr. unaendelea kimya kimya.
Ningependa zaidi private clinics.

Usiogope specialist hawana mgomo, ukifika pale muulizie Dr Mtinangi wataku direct na huyo ndo atakae kusaidia vyema yeye ni specialist katika mambo hayo.
 
Nenda Hindu Mandal

Muulizie Dr. Mashavu atakusaidia
 
ni daktari mzuri sana amemsaidia rafiki yangu pia, alikuwa na tatizo kama la kutokushika mimba
 
Pia kuna dr Wangwe na dr Kamugisha muhimbili, Je kuna anayewafahamu hao atupe sifa zao
 
Nenda pale Dr Group Karibu na RTD uliza Dr. Brigadia (rtd) Kessy tatizo lake litakuwa limekwisha. Huyo ni kiboko ya matatizo ya. Uzazi. My wife ameponea hapo sasa yupo pregnant.
 
Nenda Maria clinic...iko maeneo ya Mbuyuni pale.. ma doc wa pale ni wa Muhimbili na clinic hufunguliwa saa 15:00 jioni..ni wataalamu wazur sn
 

0754286125 jaribu kuwasiliana na huyu dokta
 
Asante kwa ushauri Mkuu.
Ila naogopa usumbufu, hasa uzikizinagtia inasemekana kwamba mgomo wa ma dr. unaendelea kimya kimya.
Ningependa zaidi private clinics.

basi una yako mengine hutaki mtoto wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…