Msaada abt hostel duce,

Msaada abt hostel duce,

Kuna uzi maalum kwa ajiri ya wanaduce...Duce Family Special Thread utafute then
 
Samahan wanajamvi ,naomben info kuhusu hostel kwa 1st year ,make nilipata post duce bt natoka mbal na dsm,hostel vp?

Kwa hostel wavulana takribani mia sita hawatapata accomodation. Ni takribani miambili na Arobaini ndo wanaweza kuwa accomodated..... Kifupi jiandae kwa kupanga mtaani...
 
Back
Top Bottom